Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ni huzuni sana kumwona kijana wetu wa last minute kujifunga mwenyewe! Na Ronaldo hajafanya cha maana leo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ila kushinda kila game mfulilizo ina raha yake na mwisho wake that is happened for madrid!
 
Hili gemu nilikuwa zuri mno! Hakika Sevilla wamepiga mpira mwingi Sana. Ramos alitingwa ile mbaya.
 
Pia naona kama wakicheza wale ambao hawaaminiwi sana ndio tunakuwa stable zaidi ya hawa tunaowaamini wakiwa wote.
 
Yaani hatukujifunza ile sare ya juzi dhidi ya hawa watu? Kuna umuhimu wa kuwapa nafasi Morata na Asensio.
Yaan mimi nilipoona hiyo sare nikasema afadhali mpira uishe, maana sikuona mabadiliko yoyote aliyofanya zidane zaidi ya kumtoa Kroos! Sare ingetufanye tuendelee record yetu
 
Ronaldo was the worst player on the pitch. I don't remember to see him completed a single pass. Alikuwa anajiangusha Tu badala ya kucheza mpira. Kwa kifupi Real Madrid haikuwa na forwad kabisa. We miss Bale big time.
Kweli kabisa ! Bale ni muhimu sana hasa kwenye game za hatari. Huwa hajiangushi sana
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa ku-keep possession kama wafanyavyo Barca ambapo inapunguza presha na kuweza kujikusanya nguvu ya kutafuta goli.
Anyway ila inauma sana kupoteza game.
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa ku-keep possession kama wafanyavyo Barca ambapo inapunguza presha na kuweza kujikusanya nguvu ya kutafuta goli.
Anyway ila inauma sana kupoteza game.
Madrid wanapenda kupiga chenga sana na kupenda kurudisha kurudisha mpira nyuma
 
Madrid wanapenda kupiga chenga sana na kupenda kurudisha kurudisha mpira nyuma
Sijui kwanini wanapenda sana hiyo style ya kurudisha hovyo mipira na chenga chenga zisizoeleweka. Hata tungeahinda au kudroo bado tulikuwa hovyo mno.
 
Hata kama benzema alisaidia kama mechi iliyopita zidane ampumzishe afikirie hao wengine aache ubaguzi
 
Kweli kabisa ! Bale ni muhimu sana hasa kwenye game za hatari. Huwa hajiangushi sana

Goli la Asensio mechi iliyopita Ronaldo asingefunga maana angejiangusha chini aombe penalty badala ya kupambana.
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa ku-keep possession kama wafanyavyo Barca ambapo inapunguza presha na kuweza kujikusanya nguvu ya kutafuta goli.
Anyway ila inauma sana kupoteza game.

Madrid wanapenda kupiga chenga sana na kupenda kurudisha kurudisha mpira nyuma

Sijui kwanini wanapenda sana hiyo style ya kurudisha hovyo mipira na chenga chenga zisizoeleweka. Hata tungeahinda au kudroo bado tulikuwa hovyo mno.
Nyie hamjaelewa. Sevila ni moja kati ya timu ngumu unapokutana nayo. Na haswa wanapokuwa nyumbani. Wanacheza gemu la kushambulia mwanzo mwisho. Wapo very physical. Ni moja ya timu itakayowapa pressure sana kwenye kuwania ubingwa.

Wapo nyuma alama 1 toka kwenu. Hii inaonyesha kuwa wapo kwenye nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa baada ya kupita muaka 73.
 
16106055_1468368926521196_3023675578751508629_n.jpg
 
Back
Top Bottom