Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

16105793_1467803036577785_499183223158467541_n.jpg
 
Naona timu yetu haijaweza kuhold na ku-control full midfield
Ndio maana bado tunahangaika tu.
 
Naona timu yetu haijaweza kuhold na ku-control full midfield
Ndio maana bado tunahangaika tu.


Need to keep possession to put some pressure on Sevilla. They are looking quite dangerous in the attacking half.
 
Naona Marcelo kachemka kabisa!
Yupo na hang tu Kati Kati ndio maana unamwona kama amechemsha, ila nafasi anayocheza ndio inamletea matatizo, hope kipnd cha pili wataongea ili Ronaldo arudi kati na yeye apate nafasi pembeni
 
bonge la kandanda. umepigwa mpira mwingi. Eti Cr7 alianguka kama mfuko wa viazi.
 
Kipind cha kwanza vijana wamecheza kwa umakini sana, Ngoja tusubir kipnd cha pili tuone Zidane anakuja na mbinu gani, ila goli ni muhimu sana ili kuwalegeza
 
Uelekeo wa mechi haupo vizuri kwetu. Huku wachezaji wakishindwa kabisa kuwapresha hawa watu.
 
Sevilla will now lauch an all out attack. Defense will be quite busy in last few minutes of the game.
 
Endeleeni kutupia kinachojiri huko maana huku kwangu TANESCO washafanya yao.
 
Back
Top Bottom