McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Thanks Ramos kama kawaida.....!
HahahahKuna mtu na mmasai.. ila Ramos ni MTU![]()
Kila game kama fainali jamaa walitaka kuharibu sherehe hivi hivi huyu babel kama ana 18 vile kumbe wiki ijayo anafunga 30 thanks vijana wameonyesha kikosi kipana kipo.Oyooooo.....watoto walitaka kupanda na viwembe mgongon hawa
Ni kweli lakini imeshindakana ! Ramos kawaida yake !Hata iweje Madrid anafungwa Leo ndo nakubaliana na wenger hakuna timu isiyofungika duniani huu mchezo haitaji hasira
rudia kidogo cja kuelewaHata iweje Madrid anafungwa Leo ndo nakubaliana na wenger hakuna timu isiyofungika duniani huu mchezo haitaji hasira
Pole mkuuHata iweje Madrid anafungwa Leo ndo nakubaliana na wenger hakuna timu isiyofungika duniani huu mchezo haitaji hasira