Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,821
jamaa ni wazuri sana japo home kwao wanasuasua. hatua ya makundi wamemaliza na goli 21. nafikiri hakuna timu imefunga goli 21.Bora hata hiyo sare jamaa jana walikuwa na ubora flan hivi na wakija wanakuja kweli ndio mchezo ulivyo.
Acha ndugu walikuwa wakija inakuwa khatari sana ilikuwa game ngumu sio wa kubeza na kama sijasahau hata game ya kwanza matokeo yalikuwa kama hivi.jamaa ni wazuri sana japo home kwao wanasuasua. hatua ya makundi wamemaliza na goli 21. nafikiri hakuna timu imefunga goli 21.