Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,801
AUBAMEYANG HAS SCORED FOR DORTMUND!!
It's 2-1 now (Game On)
It's 2-1 now (Game On)
Marcelo alipoteza mpira wakati mbaya kweli, watu walikuwa kwenye move ghafla akapoteza mpira.WHAT A COUNTER ATTACK BY DORTMUND... They deserved that goal.
Varane Leo alikuwa kwenye moody ya kutiwa wenzie chenga, alijiamini sana Leo kwa kweli.Na Varane umemuona?
Actually nimeona kumbe kuwa wa pili halijawa jambo bayaReal Madrid's possible rivals:
- Juventus
- Arsenal
- Napoles
- Monaco
- Leicester