Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,761
Real Madrid come out with a statement calling for respect for Cristiano after the Spanish Tax Agency confirmed he's up to date w/ his taxes.
Mim ningependa tuongoze kundi, kwasababu tu ya heshima, ila kwenye 16 bora aje yeyote ni poa tu. Ili uwe bingwa ni lazima uzishinde team bora, na uwezo wa kuzishinda tunao.If Real Madrid finish 2nd in their group then they can face :
Arsenal, Napoli, Monaco, Leicester or Juve.
If finish 1st:
PSG, Benfica, Bayern, Man City, Leverkusen, Porto/København, Juve/Lyon.
Kuongoza kundi ni bora zaidi, hata hivo now timu ngum zipo kwenye makapu yoteMim ningependa tuongoze kundi, kwasababu tu ya heshima, ila kwenye 16 bora aje yeyote ni poa tu. Ili uwe bingwa ni lazima uzishinde team bora, na uwezo wa kuzishinda tunao.
Vijana wakinisaidia kumpiga BVB nitafarijika sana, hawa watu wamekuwa wakitusumbua sana.
Ni kweli Mkuu, safari hii kutakuwa na mtanange mikali sana kwenye 16 bora.Kuongoza kundi ni bora zaidi, hata hivo now timu ngum zipo kwenye makapu yote