Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,181
Vipi na yule mpinzani wake wa Barcelona, yeye anazo ngapi?
Kumi na saba.
Vipi na yule mpinzani wake wa Barcelona, yeye anazo ngapi?
Wanatutafuta kinoma.....Atletico clearly dominating the second half. COME ON!!
Nampenda sana CR kuliko LM lakini kwa penalty hii,CR7 kafanya usanii na anastahili tuzo ya Oscar.
Commentator bwana eti " no mistake at all"
Naona pale kilichomponza yule beki ni kichelewa kuondoa miguu yake baada ya kuangukaNampenda sana CR kuliko LM lakini kwa penalty hii,CR7 kafanya usanii na anastahili tuzo ya Oscar.
Commentator bwana eti " no mistake at all"