Ohoooooooo....hapo sasa ndo utapojua utaifa huwa unawasumbua hawa makocha....benzema anaenda wap sasa...huyu anatakiwa akae benchi kama mechi tano hv akili imkae sawa
Naona James anaingiaAlitakiwa aingie midfielder kusaidia defense.
FT:Tumetoka kifua mbele kwao ni kama tumelipiza kisasi maana walianzisha mtindo wakutaka kututambia kwetu na kwao...safi sana team
mmepiga mpira mwingi sana. bila kusahau penalty ya magumashi.Hii ni salamu kwa Barcelona Dec 3