Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,161
What an entertaining game so far. Brilliant atmosphere.
Sure..hawa jamaa leo wanakipiga sana hapa leo...huyu isco leo yupo full controlMarcelo, Isco, Ronaldo, Modric and everyone is playing great!
Yaan wanajitahidi sana ki ukweli si kama mechi zilizo pita leo wana onesha determination, at least mpaka saaaMarcelo, Isco, Ronaldo, Modric and everyone is playing great!
Sure..hawa jamaa leo wanakipiga sana hapa leo...huyu isco leo yupo full control
Acha kabisa aiseeHizi turns leo Isco namkumbuka yule wa enzi ileee ya Malaga.
HT:So far so good..tumecheza vzr sna....modric kama kawa katoa utulivu eneo la kati....naona tunacheza vzr kabisa...bale awe anahama upande asiwe anakomalia upande mmoja tu
Kiukweli tumeutawala mchezo kwa kiasi kikubwa sana, hivyo tutarajie kupata ushindi wa uhakika
Hivi mpaka sasa kashafunga free-kick ngapi akiwa Laliga?20 - Cristiano Ronaldo has scored more direct free-kick goals than any other current La Liga player. [Opta]
![]()
Hivi mpaka sasa kashafunga free-kick ngapi akiwa Laliga?
Unadhani kuna haja ya mabadiliko yoyote?Ni clean sheet leo. Naona hata Nacho leo yupo on the game!
Vipi na yule mpinzani wake wa Barcelona, yeye anazo ngapi?direct free-kick ishirini.