Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Duu, Nacho hawezagi game za kibabe!! analetega upole wake mpaka kwenye kazi.
Nimeona sehemu mbali mbali kwamba ZZ kaamua kuto-mrisk Ramos may be sababu ya classico coz kwa matokeo yyte ya leo madrid still will be on top of the table
 
Nimeona sehemu mbali mbali kwamba ZZ kaamua kuto-mrisk Ramos may be sababu ya classico coz kwa matokeo yyte ya leo madrid still will be on top of the table
Hiyo inawezekana. kama bado hayupo 100% hamna sababu ya kumchezesha, ila game tuliolala pale Calderon centre back walikua ni Varane na Nacho, na Siku Hiyo walipoteana vibaya, sijui Leo itakuwaje!!
 
Ile game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98 . Hapo hapo na kadi nyekundu mbili
Hahaha, Mkuu marefa wa la liga wanakuwaga na vinyongo mda mwingine, mwenyew nilishangaa game kwenda mpaka mda ule, wakati wameongeza dk 4 tu
 
Real Madrid's XI & Bench [HASHTAG]#RMDerbi[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

CxpU2wFXUAEr0aa.jpg:large
 
Ile game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98 . Hapo hapo na kadi nyekundu mbili

Hahaha, Mkuu marefa wa la liga wanakuwaga na vinyongo mda mwingine, mwenyew nilishangaa game kwenda mpaka mda ule, wakati wameongeza dk 4 tu

Hakuna game iliyochekesha kama waliyocheza na Valencia, refa hakumaliza mpira mpaka kawapa penalty.
 
Real Madrid's XI: Keylor Navas; Carvajal, Varane, Nacho, Marcelo; Kovacic, Modric, Isco; Vázquez, Cristiano & Bale.
 
Ile game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98 . Hapo hapo na kadi nyekundu mbili
Hahah
Ila wale marefa ni majanga jamani, kama ndio la liga inachezeshwa vile kazi ipo mkuu
 
So much hipped for this game, Imagine if we win! We'll be 9 points ahead of Atleti and 4 ahead of the Catalans.
 
Varane needs to lead the defence tonight the way he leads it 'in France National Team, this could be a big form revival game for him.
 
Today could be the season defining win for us. This could be it. We win today and we have this lead that ensures come the El Clasico, we could put a huge margin between us and our rivals. HALA MADRID!
 
Back
Top Bottom