Tutaendelea kumkumbuka Casemiro daima.
Ronaldo kazingua hapo....anatetemeka miguu
Ameshindwa kufanya maamuz huku anataka kufunga mwenyew huku anataka kutoa pass, hii nafasi ya kwenda kilele haitakiwi ituponyoke kabisa, sasa hawa vijana ninaona wanaleta mchezoRonaldo kazingua hapo....anatetemeka miguu
Kuna kila sababu ya kudisband hawa wanaojiita BBC, wanazingua tu, Kila siku tunabaki kusema afadhali huyu, Leo ni zamu ya Ronaldo kuruka ruka, Bale na yeye kupiga mipira ya mbali ananiudhi sana, kwanin asisogee?Kapoteza nafasi za wazi kama 3, sometimes hawa untouchable players wanazingua tu. Kuna vijana kule bench hawapewi nafasi, hii ni bullshit system.
Ni kwel kabisa...unajua huu mfumo wa mpira biashara umeharibu sana matokeo uwanjan...yaan kuna wakat unaona kabisa hapa siyo sawa ila ndo hivyo kudadeqKapoteza nafasi za wazi kama 3, sometimes hawa untouchable players wanazingua tu. Kuna vijana kule bench hawapewi nafasi, hii ni bullshit system.