mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Exactly.., tumeyumba sana kwa kumkosa Casemiro pale.Tunatiwa wakija kwetu tuwatie adabu, na bahati nzuri ninadhan Casemiro atakuwa amesharudi, washikilie kwanza hiyo nafasi kwasasa!!
Exactly.., tumeyumba sana kwa kumkosa Casemiro pale.Tunatiwa wakija kwetu tuwatie adabu, na bahati nzuri ninadhan Casemiro atakuwa amesharudi, washikilie kwanza hiyo nafasi kwasasa!!
Dogo yupo vizur sana, atafanya vizur sana kama atacheza nyuma ya striker, sipati picha siku Zidane atawatupia Casemiro, Modric , Kroos, Isco/James, Asensio na Morata asimame pale mbele!! Itakua noma sanaAsensio ni hazina kubwa sana pale Santiago na Spain kwa ujumla.