Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Mkuu unaweza kunisaidia web ambayo itanifanya kuchek game online, maana nko mbali na home30' Real Madrid 2-1 Legia
Mkuu unaweza kunisaidia web ambayo itanifanya kuchek game online, maana nko mbali na home30' Real Madrid 2-1 Legia
Oyooooooooo....gooooal...ansesio
Mkuu natazama kupitia mobdro-bein channel lakini ina-stuck sana..hivyo nifanyeje ili nitazame bila kuganda ganda.?
Mkuu unaweza kunisaidia web ambayo itanifanya kuchek game online, maana nko mbali na home
Dogo atafika mbali sana, anabidii na kikubwa zaidi Ni kwamba anajua mpira!!Marco Asensio is the first Real Madrid player to score in three different competitions this season.
Mdogo mdogo mambo yatakaa sawa tu, Ni beki zetu kujipanga tu, golikipa yupo poa.Msimu huu hatutoki na clean sheet kabisa. Kila game lazima turuhusu goli.
Tunatiwa wakija kwetu tuwatie adabu, na bahati nzuri ninadhan Casemiro atakuwa amesharudi, washikilie kwanza hiyo nafasi kwasasa!!Tumefunga kurasa la leo naona BVB bado wana lead group but one day We gonna make it.