pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,756
Hala madrid....
Nafikiri atafunga...maana kuna record huwa zinawekwa na watu ambao siyo mastaa sanaMarco Asensio has scored in his European [UEFA Super Cup] and La Liga debut. He is making his debut tonight in the UCL .
![]()
Safi sana, hope kijana atarudisha fadhila, bado kijana wangu Mariano!!Champions league debut, Best of luck Marco
![]()
Jamaa habadiliki tu, sijui ana shida gani!!Huyu benzema ***** zake.....dah!zidane aache utaifa wkat mwingine
Mkuu natazama kupitia mobdro-bein channel lakini ina-stuck sana..hivyo nifanyeje ili nitazame bila kuganda ganda.?30' Real Madrid 2-1 Legia