Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Watu wanamchukia coz the guy is too perfect and hard worker...Wivu na husda zinawasumbua. Ningependa apige hatrick leo ingekuwa poa sana.
Ubinafsi ni human nature.
Watu wanamchukia coz the guy is too perfect and hard worker...Wivu na husda zinawasumbua. Ningependa apige hatrick leo ingekuwa poa sana.
Halafu wiki kadhaa nyuma kafungua 5 star hotel huko kwao, Nafikiri ana hotel ya tatu kama sikosei anazimiliki, pia kuna channel za kiarabu kama mbili hivi naona matangazo yake ya saa na la mavazi.Watu wanamchukia coz the guy is too perfect and hard worker...
Ubinafsi ni human nature.
Cristiano katoka mbali sana na juhudi ndio zimemfikisha hapo,Halafu wiki kadhaa nyuma kafungua 5 star hotel huko kwao, Nafikiri ana hotel ya tatu kama sikosei anazimiliki, pia kuna channel za kiarabu kama mbili hivi naona matangazo yake ya saa na la mavazi.
Kweli, from zero to hero. Kwa sasa ndo anaongoza kwa kupokea pesa ndefu kuliko footballer player yeyote duniani. Cr7 ni key player ukiangalia ashafunga magoli muhimu sana pale tulipokwama. Anastahimili pongezi hata mtu ukimchukia haibadili hali halisi.Cristiano katoka mbali sana na juhudi ndio zimemfikisha hapo,
Man kuna watu wanachuki sana zisizo na msingi, na bahati mbaya Ronaldo ataendelea kuwepo tu madrid hata kama hawapendi na benchi hakai labda utawala huu wa Zizou uondoke...
Hizi ndio game za kuweka kikosi sawa, nina uhakika tulimaliza hiz game basi kikosi kitakuwa kimeimarika vya kutosha. Zidane asipoweka mambo sawa hapa, basi tusahau ubingwa!!Real Madrid's next 5 matches:
• vs Legia Warsaw (Home)
• vs Athletic Bilbao (Home)
• vs Leonesa (Away)
• vs Alaves (Away)
• vs Legia Warsaw (Away)
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
![]()
..Haponi Mtu hapa