Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Hahahahhahhahhahhahahahha....ndo maana wazungu wanaongoza kwa kujiua kwa sababu ya msongo wa mawazo yakujitakia...Nimecheka, Ronaldo scored halafu hawa jamaa booooo! Good goal though. Sijui kwanini watu wengi hawampendi Cristiano.