Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #22,161
2nd assist by Toni.
Nimependa sana hii counter iliyozaa goli la 4, Pepe huwa anajituma sana akiwa uwanjani!!
Pepe katika ubora wake, nusura wajamaa wachafue gazeti!!
Pepe katika ubora wake, nusura wajamaa wachafue gazeti!!