pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,756
Kutoa draw ugenini Iduna Park na BVB sio kitu kidogo kaka...Ni jambo la kushukuru kuliko tungefungwa na kupoteza kabisa..Zinade anazingua siyo bure...game zakushinda anazingua...tunatoa draw kila siku *****
Anambeba Benzema Mfaransa mwenzie..Hili ndilo tatizo la makocha wa Kifaransa...Hana tofauti na WengerZizou sijui anawaza nini kila siku anarudia makosa Yale Yale ya kumuacha Morata nje.
Danilo kanifurahisha sana upande wa kushoto amepiga kazi kweli.Aisee, huu mziki Fabio asingeuweza, angetolewa kabla ya kipnd cha kwanza kuisha!! Danilo amejitahid sana mpaka sasa, kumzuia huyo Dembele sio kazi ndogo!!
Mkuu zizou anambeba sana huyu jamaa...hii game ya leo ilikuaa siyo yakutoa draw kabisa...timu ambayo wewe unatangulia kufunga halafu wao wanakuja kuchomoa ujue weww timu yako ipo na tatizo mahali...sisi kuwa hovyo katika kiungo ukabaji na beki yakushoto ilitakiwa mbele tuwe makini sana...sasa benzema kila akigusa mpira lazima abinuke...kukimbia hawez tena...FT
BVB 2-2 RMA
Zizou anambeba sana Benzema...Alipaswa kutoka mapema sana ...Ni ajabu anamchezesha mpaka dk ya 88 na kumuacha nje Morata...
Draw sio mbaya though...Hasa unapocheza ugenini na timu kama BVB...
Hala Madrid...
Tukutane Jumamosi game na Eibar
Mkuu hii game jina la BvB ndo limetuchanganya labda ila kwetu ilikuwa yakushinda hii maana tulikuwa tunatengeneza nafasi ila hatuzitumii vyema..morata kaingia dakika za majeruhi ila umeona cross aliyopiga beki akaokoa...Kutoa draw ugenini Iduna Park na BVB sio kitu kidogo kaka...Ni jambo la kushukuru kuliko tungefungwa na kupoteza kabisa..
Afadhali umbebe mtu anayebebeka, Benzema habebeki kabisa!! Ninaona Zizou anahamu ya kupigiwa kelele pale Santiago, na atazipata muda mrefu!!Anambeba Benzema Mfaransa mwenzie..Hili ndilo tatizo la makocha wa Kifaransa...Hana tofauti na Wenger
Kweli Ndg, BvB siyo kitu kwetu tatizo liko kwa Zizou kumng'ang'ania Benzema wakati Morata yupo mwenye uchu wa kuweka rekodi.Mkuu hii game jina la BvB ndo limetuchanganya labda ila kwetu ilikuwa yakushinda hii maana tulikuwa tunatengeneza nafasi ila hatuzitumii vyema..morata kaingia dakika za majeruhi ila umeona cross aliyopiga beki akaokoa...
mi nafikiri shida kubwa ni kukosekana kwa Casemiro na Marcelo.Daah hili gundu aisee timu zenye jezi ya njano zinaigana mfumo wa kucheza dhidi ya Madrid lkn hawajaweza kutufunga,muhimu Navas mwanzoni alifanya mistake za kupunch mpira but baadae alitulia na kufanya kazi yake,ila ckuona sababu ya kutokucheza Vazquez na morata kuchelewa kuingia vinginevyo timu ilikuwa committed Leo tofauti na gemu zilizopita.
Kweli kabisa benzema wanazingua sana pale mbele,imefika mda naye aanze kuchoma mahindi.Afadhali umbebe mtu anayebebeka, Benzema habebeki kabisa!! Ninaona Zizou anahamu ya kupigiwa kelele pale Santiago, na atazipata muda mrefu!!
Sure!! Leo tumetoka draw ila nilipendezwa na jinsi team ilivyojituma tofauti na ile Villareal, Makosa madogo tu Leo ndio yametukosesha ushindi, pia na Zizou kuchelewa kumtoa Benzema,Daah hili gundu aisee timu zenye jezi ya njano zinaigana mfumo wa kucheza dhidi ya Madrid lkn hawajaweza kutufunga,muhimu Navas mwanzoni alifanya mistake za kupunch mpira but baadae alitulia na kufanya kazi yake,ila ckuona sababu ya kutokucheza Vazquez na morata kuchelewa kuingia vinginevyo timu ilikuwa committed Leo tofauti na gemu zilizopita.
Na akikaa bench yule sijui itakuwaje, kama anapata nafasi ya kucheza alaf anakuwa vile, vp akikaa bench? si unaweza kuwa mwisho wake pale Bernabeu?Kweli kabisa benzema wanazingua sana pale mbele,imefika mda naye aanze kuchoma mahindi.
Casemiro kageuka tegemeo Madrid dogo anajua kukaba akikosekana makosa ya wazi kabisa na ya kuzuilika yanatokea.mi nafikiri shida kubwa ni kukosekana kwa Casemiro na Marcelo.
Mkuu zizou anambeba sana huyu jamaa...hii game ya leo ilikuaa siyo yakutoa draw kabisa...timu ambayo wewe unatangulia kufunga halafu wao wanakuja kuchomoa ujue weww timu yako ipo na tatizo mahali...sisi kuwa hovyo katika kiungo ukabaji na beki yakushoto ilitakiwa mbele tuwe makini sana...sasa benzema kila akigusa mpira lazima abinuke...kukimbia hawez tena...