Kama Zizou hatademand ushirikiano kwa hawa forwards wetu hatutafika mahali!! angalie jinsi ya kumchezesha Bale, bado anategemea kupiga krosi tu, tuna kikosi kizur sana kwa kweli!!
Sioni sababu ya kushumbuliwa na hiv viteam!!

Ni vizur Zizou akajifunza bado mapema kabisa, hatutaki mambo ya kukisia, mbona wakati anafika alipanga team yake vizur tu, pale kati tulizidiwa ila Kroos na Modric walicheza vizur sana, tatizo tunakosa umakini tukifika final 3rd ya adui, ubinafsi mwingi na kukosa umakini!! wajamaa wanajipigia tu!! sasa hii presha ya kuongoza league kwa point moja tutaiweza?