Hawa vijana ninadhan bado hawajajua kujiweka katika nafasi, atleast Vasquez alikuwa anajitahid kwenda na move, ila Asensio anajisahau sana, yaani unakuta Marcelo yupo mbele na mpira yeye yupo nyuma yake, akipewa mpira anarudisha nyuma!!It looks like Karim Benzema is Real Madrid's only attacking player. Vazquez and Asensio are wingers but still they are coming back to midfield in order to receive the ball to create a play.
Asensio Leo kajitahidi sana kwa kweli pamoja na Vazquez kwenye wings.Magnificent job by Lucas, lakini ukiangalia mpira ule ulikotoka kabla haujabadilishwa utajua Asensio kafanya kazi kubwa sana.
you mean ''you own", right? hata hivyo ''congregation'' kwa ushindi. inaelekea tutasubiri sana hadi hilo gap la point tatu mlilotupiga lije kusawazishwa.Hala Madridista! We owe this league.
Si unajua muombee njaa adui ili ujiweke pazuri kumshinda. Japo linaweza kuwa covered muda wowote ila natamani mpige sare na our neighbour afu si tushinde.you mean ''you own", right? hata hivyo ''congregation'' kwa ushindi. inaelekea tutasubiri sana hadi hilo gap la point tatu mlilotupiga lije kusawazishwa.
Mino is trying so much to convince the world that Pogba chose United over us. Now I'm glad Perez didn't even bother. Dude is a low.
Hahaha, nilijikuta ninacheka nilivyosoma alicho ongea, yule jamaa ana matatizo sio bure, ati Pogba alichagua United over Madrid sababu alitaka challenge, anasema kulikua na offer kutoka premier league na sehemu nyingine, ila amekazana kutaja Madrid, kwanin asitaje hizo club nyingine zilizokuwa zinahitaji huduma ya mteja wake? nimemwona wa hovyo sana. Wivu tu unamsumbua, na sidhan kama atakuja kupata bahati ya kuuza mchezaji pale Madrid!!Mino is stupid. Everyone know the truth, Madrid, Barca & Man City pulled out of the race to sign him, he had no any other option but to rejoin Manchester United.