Vizuri lakini uongo wenye kheri.Hahahhahahahahha...pale ilibidi adanganye umati maana angeonekana ingekuwa njano ya pili
Hahaha, kama ninawaona hivii!! Watatupenda tuu!!Mtaa wa Pili wameshika nanilii ili tufungwe wataisoma namba na kupatwa na tetemeko la mioyo juu yake.
Tumejitahid ila madogo wametupania,muhimu ni concentration na kuepuka injuries zisizo za lazima,tunaongoza first half tujipange second half kuongeza magoli na kujihakikishia point 3 muhimu,wameniboa sana kutuumizia casemiro hope injury yake cio kubwa ataweza kurud soon.
Hahaha, Pepe alipata moto kweli kweli, hata yeye na Ramos hawakuwa vizur dk za mwanzo, mwishoni ndio nimeona wameimarika!!Huyu kiko ***** haongei na beki kudadeq....anashindwa kupanga beki...hadi pepe anammind kuwa aongee.....
Kweli umakin unahitajika game bdo mzigo,hope tutashinda.Game za kupaniana hizi tunaweza kuondoka na injury nyingi wakati game ya Borussia Dortmund inatusubiri. Casemiro kaenda kukaa bench kwahiyo sijui ni kama serious sana, otherwise angeenda moja kwa moja kwenye tunel. Kipindi cha pili sijui itakuwaje, wasiwasi wangu Ramos kama atamaliza game maana ana yellow tayari.
Hawa watu wametupania, so wanajitahid kucheza kadri wanavyoweza!! Cha Muhimu ni wachezaji wetu kutulia tuHawa jamaa wanacheza judo nini! Maana mpira hauko kama wanavyocheza.
Yatupasa ku-hold mpira sana ili kwa kuwa hatuna Casemiro .
Bado hatujatulia vizuri.