Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu kiko ***** haongei na beki kudadeq....anashindwa kupanga beki...hadi pepe anammind kuwa aongee.....
 
Mtaa wa Pili wameshika nanilii ili tufungwe wataisoma namba na kupatwa na tetemeko la mioyo juu yake.
 
Asee kiukweli tuna hazina ya wachezaji..Casemiro out then kroos in.
 
Hawa jamaa wanacheza judo nini! Maana mpira hauko kama wanavyocheza.
Yatupasa ku-hold mpira sana ili kwa kuwa hatuna Casemiro .
 
Back
Top Bottom