hyo game nina wacwac nayo itakuwa ngumu sana
Itakuwa ngumu lakini spirit ya ushindi iko pale pale na kushinda ni lazima kwa Madrid hasa ukiangalia Leo,barca na atletico wote wameshinda xo na Madrid lazima tushinde kesho ili tuwe kwenye nafasi nzuri coz jumatano ijayo kati ya barca na atletico watakapokutana mmoja wapo adrop points au wote na sie tushinde,proudly of being madridista,Hala Madrid.hyo game nina wacwac nayo itakuwa ngumu sana
Hope kesho James ataanza, sababu baada ya Cristiano na Bale, ninaona kama yeye ndio anafuatia kuforce ushindi team inapozidiwa ukitoa mabeki wetu, game ya kesho ni muhimu sana kwa kweli, ninajua Espanyol watatusumbua sana ukizingatia kuwa msimu huu wameimarika sana, ila ushindi kesho ni lazima!!Itakuwa ngumu lakini spirit ya ushindi iko pale pale na kushinda ni lazima kwa Madrid hasa ukiangalia Leo,barca na atletico wote wameshinda xo na Madrid lazima tushinde kesho ili tuwe kwenye nafasi nzuri coz jumatano ijayo kati ya barca na atletico watakapokutana mmoja wapo adrop points au wote na sie tushinde,proudly of being madridista,Hala Madrid.
Kweli kabisaHope kesho James ataanza, sababu baada ya Cristiano na Bale, ninaona kama yeye ndio anafuatia kuforce ushindi team inapozidiwa ukitoa mabeki wetu, game ya kesho ni muhimu sana kwa kweli, ninajua Espanyol watatusumbua sana ukizingatia kuwa msimu huu wameimarika sana, ila ushindi kesho ni lazima!!
Kama na Morata akianza pia kesho itakuwa magoli sana!!
Ronaldo amepata flu na bale hatochezeshwa kama tahadhari hapo mbeleni,anaendelea kurecover.Ni kweli Ronaldo na Bale wameumia hawatacheza?