Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Bora hii injury angepata benzemaBale set to miss Real Madrid's upcoming match due to the knock on the hip he received vs Sporting. [MARCA]
![]()

Bora hii injury angepata benzema![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha, Kuna watu mna vituko kweli !! Mimi ninataka wote wawe fit ili competition iwe kubwa, mmoja akiumia haitanoga!! Ninataka kila mchezaji awe na njaa ya kucheza.Bora hii injury angepata benzema![]()
![]()
![]()
![]()
Man,Unasemaje Rapherl, Morata ndio responsabe wa kifo cha jamaa. Inshort tunaweza kusema, Morata kaua mtu jana.
Man,
Benzema enzi zake zimeisha, morata ana nia na juhudi. Ona jana spirit aliyokuwa nayo kabla na kipindi anaingia unaona kabisa ni mtu yuko pale kupambana kuwa msaada na kuwa kwenye first eleven, kiukweli Benzema tumemlea muda sana ni mda sasa zizou akafanya maamuz magumu
Kweli kabisa wanaleta ufather wakati kuna damu changa zina morale ya kupambana na kuonyesha kuwa wanaweza kama Mariano,morata,asensio wakipewa mda wa kucheza na kuaminiwa sana wataanza kutufanya tuisahau BBC.Nafikiri Zizou still believe in BBC. Naona jana pale ndio kajaribu Best Eleven yake. Lakini kwa mtazamo wangu, kuna vijana wanaweza ku-deliver zaidi ya hawa wakuitwa BBC. Hawa jamaa wametu-cost game nyingi tangu enzi ya Ancelotti. Siwezi kusahau walivyotunyima starehe hawa.
Nadhani sahivi inabidi iwe zama ya CBM Benzema alipoteaga kwenye game tumemvumilia msimu uliopita akajitahidi leo tena karudi uzembe ule ule... Jana hata kudribo mpira anashindwa....Nafikiri Zizou still believe in BBC. Naona jana pale ndio kajaribu Best Eleven yake. Lakini kwa mtazamo wangu, kuna vijana wanaweza ku-deliver zaidi ya hawa wakuitwa BBC. Hawa jamaa wametu-cost game nyingi tangu enzi ya Ancelotti. Siwezi kusahau walivyotunyima starehe hawa.
Ubaya ni kuwa zizou ni kama anamuonea aibu benzema kumwanzisha bench hata akiwa na kiwango kibovu so bora aumie watu wenye kiu ya magoli wachezeHahaha, Kuna watu mna vituko kweli !! Mimi ninataka wote wawe fit ili competition iwe kubwa, mmoja akiumia haitanoga!! Ninataka kila mchezaji awe na njaa ya kucheza.
Sidhan kama anamwonea aibu ni kuwa bado anaona kama Benzema yupo vizur ya Morata, ila ukweli utajulikana kutokana na jinsi wote wawili watakapewa nafasi. Ninachomkubali Zidane ni kwamba hawezi kumwonea mtu aibu wakati anaigharimu team yake, refer kwenye ishu ya Isco/James na Casemiro.Ubaya ni kuwa zizou ni kama anamuonea aibu benzema kumwanzisha bench hata akiwa na kiwango kibovu so bora aumie watu wenye kiu ya magoli wacheze
Ile ndio 1st 11 ya Zizou, ila kwa walivyocheza ninajua aliona mapungufu yalikua wapi!! Huko mbele ninajua Morata ama James mmoja wapo ataingia hapo!!Nafikiri Zizou still believe in BBC. Naona jana pale ndio kajaribu Best Eleven yake. Lakini kwa mtazamo wangu, kuna vijana wanaweza ku-deliver zaidi ya hawa wakuitwa BBC. Hawa jamaa wametu-cost game nyingi tangu enzi ya Ancelotti. Siwezi kusahau walivyotunyima starehe hawa.
Well said,no doubt at all.Ile ndio 1st 11 ya Zizou, ila kwa walivyocheza ninajua aliona mapungufu yalikua wapi!! Huko mbele ninajua Morata ama James mmoja wapo ataingia hapo!!
Wakati wa Ancelloti alikariri sana na pia tulikuwa na kikosi kidogo, so rotation ilikua ni shida, so mwisho wa siku kuchoka na majeruhi ikasababisha team kufail. This time tuna kikosi kilichokamili, Kazi ipo sasa kwa Zizou kucheza na rotation