Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,261
Ahsante morata.....wakat anaingia unaona kabisa kuwa ana hasira
Hii ndio safi kwa Benzema, sio anakaa tu anajua namba ipo. Sasa hivi atajijua.
Ahsante morata.....wakat anaingia unaona kabisa kuwa ana hasira
Ewaaaa....sa hv benzema ataacha kufuga ndevuHii ndio safi kwa Benzema, sio anakaa tu anajua namba ipo. Sasa hivi atajijua.
Spirit ya Madrid ni kufight until last minute,big up sana link up mwanzoni haikuwa nzuri lakini sub zilizofanyika zimezaa matunda
Ewaaaa....sa hv benzema ataacha kufuga ndevu
Ewaaaa.....aisee anaweza jikuta akawa anaingia dakika mbili kabla ya mpira kuishaKazi anayo na vile Morata ni Mhispania na katoka Castilla. Benzema inabidi aangalie game yake
Ewaaaa.....aisee anaweza jikuta akawa anaingia dakika mbili kabla ya mpira kuisha
Kwa herini Wakuu na usiku mwema.