Innocentinno
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 354
- 312
Game Iko tafu sana,tukifanya mistake watatufunga hawa sporting so far wamejitahid sana
Ni kwel...casmero anapiga kazi sana yakupiga kufuli kati pale ila mipira haifiki kwa wakat mbele....
Sidhani kama ataweza kuendelea.. lakini embu tusubiri tuone kipindi cha piliGareth Bale is down after a rough challenge. Sijui kama ataendelea!!!
Game Iko tafu sana,tukifanya mistake watatufunga hawa sporting so far wamejitahid sana
Nilichokiona hawa wote watatu wapo juu hawashuki chini.......wakat inatakiwa mmoja awe nyuma ya wawiliHawa BBC hawa, sijui inakuwaje. Labda Zizou abadilishe mbinu kidogo.
Bado ana wenge yule, hapa ninaombea game na Dortmund Navas awe amerudi!!Umemuona Casilla, sijui alikuwa anaenda wapi!!!
Kati ya Ronaldo au Benzema mmoja angetakiwa kuanzia bench, sababu wametoka kwny majeruhi so hawawezi kupigana vilivyo sababu bado wanahofu, wakitoka hao kipnd cha pili ndio tutaona mpira mzuri!!Hawa BBC hawa, sijui inakuwaje. Labda Zizou abadilishe mbinu kidogo.
Nilichokiona hawa wote watatu wapo juu hawashuki chini.......wakat inatakiwa mmoja awe nyuma ya wawili
Nafikiri hapa lazima wabadilike...siyo lazima wafunge woteUmeona eeh, kila ikipigwa kwao Off-Side.
Benzema atoke
Maana naona ni jipu kuu huku mbele....Huyu ilibidi aende bench before. Hata mpira wenyewe achezi.