Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid XI vs Sporting CP | Kiko Casilla / Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo / Casemiro, Kroos, Modric / Bale, Benzema, Cristiano Ronaldo
 
14292520_10153748702466555_7191166739510204677_n.png
 
Fact: Real Madrid's 500th European goal came against Sporting CP 16 years ago.

Guti was the one who scored that historical goal.

14292391_1315235108501246_7896256809265779902_n.jpg
 
Kazi ya Ukocha ni pasua kichwa kweli kweli, mchezaji kutokuwa. kwenye first XI inaweza kuwa sio ishu sana, ila hii ya kutokaa hata benchi ninaona ndio shida zaidi!! Hii kazi inahitaji weledi na busara kubwa sana!! Hope hawa vijana wetu wanaelewa Zizou anachofanya!! ¡HalaMadrid!!


Uamuzi wa Zidane kuhusu Isco and ASENSIO ni technical nature kwasababu inawezekana wote wakaanza vs Espanyol weekend.
 
Hakuna link kati ya midfield na hawa BBC to create a chance. We have to create that strong link in order to score. COME ON!!
 
Back
Top Bottom