Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,861
Last 15 minutes to go. COME ON!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Binafsi nlisema ntakuwa wa mwisho kumkubali kiko....Who to blame for this? Kiko Casilla. Lack of concentration from everyone but kiko was miles off his line!!
GAME ON though.
Binafsi nlisema ntakuwa wa mwisho kumkubali kiko....
Mkuu...huyu jamaa ana wenge sana cyo kidgo...yaan kuna wakat anajisahau kama yupo uwanjanAnapataga kiwewe, si umeona hii kona. Lakini akitulia na beki alizonazo anaweza kutusaidia.
Mwenyew ile nilishangaa, sijui alitaka kwenda wapi wwakati team yake ilikuwa inashambuliwa? kama hajiamini hiv!!Who to blame for this? Kiko Casilla. Lack of concentration from everyone but kiko was miles off his line!!
GAME ON though.
Toni alipeleka mpira kule kule golikipa alipokuwa, ila hakuuona, noma sana, nimejikuta ninaruka hapa!!Na haya ndo magoli ya ton