Sio kwamba dogo amebanwa, ila anashindwa kujiweka kwny nafasi nzuri, anatakiwa afanyie kazi sana hiyo kitu!!Nimeanza kucheki game dakika ya 20 but morata sijamuona, Ansensio ana struggle sana, james anatakiwa aingie achukue nafasi ya ansensio dogo kabanwa sana.
Nimeanza kucheki game dakika ya 20 but morata sijamuona, Ansensio ana struggle sana, james anatakiwa aingie achukue nafasi ya ansensio dogo kabanwa sana.
Sijui ni nin kimewakumba hawa vijana wetu kwa kweli, wanakosa maelewano kabisa kwenye final third ya Celta. Team inacheza taratibu sana¡¡ Alaf Asensio kama anashuka sana, then anachelewa kupanda team inaposhambulia!!
Hahahhahahahahahah....morata kafurahi sana maana alikuwa ashaanza kupaniki kutokufungaAsensio pale alitetemeka nin!! anyway, afadhali tumepata goli kidogo pressure itapungua!!
Asensio pale alitetemeka nin!! anyway, afadhali tumepata goli kidogo pressure itapungua!!