Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Big performance needed

14080072_1299573896734034_669129975829526621_n.jpg
 
Hawa vijana mbona wanacheza kama hawajuani!! wanaonekana kucheza vizur tu kwenye half yetu, ila wakivuka msatari mambo yanabadilika!!
 
Modric with a powerful shot but the bar saves. Lingekuwa goal of the season!
 
Niko sehemu sina access ya tv na Halotel wamegoma kabisa nisi stream game kwenye Mobdro....
 
Nimeanza kucheki game dakika ya 20 but morata sijamuona, Ansensio ana struggle sana, james anatakiwa aingie achukue nafasi ya ansensio dogo kabanwa sana.
 
Hoping for a much much composed next half...For me it was a really disappointing half specially when you are playing at your own ground. Lets do this boys !!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Sijui ni nin kimewakumba hawa vijana wetu kwa kweli, wanakosa maelewano kabisa kwenye final third ya Celta. Team inacheza taratibu sana¡¡ Alaf Asensio kama anashuka sana, then anachelewa kupanda team inaposhambulia!!
 
Back
Top Bottom