Huyu asensio mzuri sana amechangamka....naona sijui morata anataka nini....maana naona kapooza hata akipata mpira unaona kabisa mpira unapoa...marcelo mzito leo kurudi kukaba...anakaba kwa macho...varane na ramos nafikir anatakiwa waongee...wanategeana