Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,581
Jamaa itabid ajiangalie sana, Hii chelewa chelewa ya kumtoa Mariano kwa mkopo ninadhan ni kwasababu ya matatizo ya Benzema!! Wenzake hawajapata hata nafasi ya kupumzika vizur na wamerudi vizur, yeye kupumzika kote huko hakukumsaidia!! Anajisahau sana, ataondoka pale kiutani utani tu, haoni vijana waochipukia wanavyoibuka?Benzema didn't participated in Euros, Arrived unfit for the friendlies from holidays. Played 1 game for maximum 40 min, Unfit again.
Sijui huyu jamaa vipi!
Hata hivyo ameshakuwa mzito sio benzema yule wa zamaniJamaa itabid ajiangalie sana, Hii chelewa chelewa ya kumtoa Mariano kwa mkopo ninadhan ni kwasababu ya matatizo ya Benzema!! Wenzake hawajapata hata nafasi ya kupumzika vizur na wamerudi vizur, yeye kupumzika kote huko hakukumsaidia!! Anajisahau sana, ataondoka pale kiutani utani tu, haoni vijana waochipukia wanavyoibuka?
Huyu Jamaa sijui ana matatizo gani kwa kwel maana majeruhi kamwe hayamuishii na ameanza kuflop kwa kwel sio kama yule wa zamani.
Benzema out of the first league game. [MARCA]
![]()
Duu, hope haitakua hayo majeraha hayatakuwa makubwa, kama atalazimika kutocheza ina maana Zidane atakuwa amebakiwa na Mariano pekee kama no 9, sema bado tunavijana wanaweza kucheza kama false no. 9!!Morata is doubt for the Sociedad game. Got himself injured in the gym after dropping weight on his foot in gym yesterday. [Onda Cero]
Duu, hope haitakua hayo majeraha hayatakuwa makubwa, kama atalazimika kutocheza ina maana Zidane atakuwa amebakiwa na Mariano pekee kama no 9, sema bado tunavijana wanaweza kucheza kama false no. 9!!
Casemiro hana replacement kwa hapo ni hatar lkn cio mbaya bado anaitendea haki hiyo namba kwa kweli,nikikumbuka jinsi alivyoipotezaga barca ile El clasico ya mwisho ndo akajipatia namba ya kudumu.Real Madrid has at least two players for every position except that of Casemiro. The most favoured person by coach and the club to step up into that role is Kroos. [AS]
![]()
Wale nao huwa wanatupaniaga sana, ile game ilibadilika ghafla, kutoka kuongoza 2-0, tukalala 4-2!! Safari hii sijui itakuaje, ngoja tusubirie hiyo jumapiliNa wale Sociedad siyo wa kuwachezea, kama sikosei kwenye opening game ya 14/15 season walitupiga 4-2, kiwewe cha Perez akamsaini Chicharito usiku usiku.