Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu Nacho na mwenzie Varane wanashidwa kupeana majukum!! waajikuta wanatoka eneo la ulinzi wote!!
Alafu kuna kitu nilikiona kuanzia kwenye game za pre season na bapa kinajitokeza tena!! yakifanyka mabadiliko basi na team inakuwa haina maelewano,
 
Our Half Time changes...

Mariano, Varane, Tejero and Isco came for Morata, Ramos, Marcelo and Asensio.
 
Another changes:

Casemiro, Mateo, Carvaja, Enzo and Yanez came in, and Kroos, Modric, Danilo, Bale and Casilla went out
 
KYEI has scored for REIMS. An unexpected goal after a weak defense.

It's 4-3 now.
 
Huyu Nacho na mwenzie Varane wanashidwa kupeana majukum!! waajikuta wanatoka eneo la ulinzi wote!!
Alafu kuna kitu nilikiona kuanzia kwenye game za pre season na bapa kinajitokeza tena!! yakifanyka mabadiliko basi na team inakuwa haina maelewano,

Kuna watu wataenda loan hapa. Zidane anawachuja wengi hapa.
 
I see a bright future in Mariano. He is not an average roster player, his movement + his finishing inside the box is lethal.
 
Like father like son!! mpaka ile kutisha na kurusha mikono dogo na yeye anavyo hivyo vitu!! hatari sana

Kuna commentators walidai Zidane kaenda na Castilla Marekani kwasababu ya mwanae, lakini nashangaa sijui hawaoni talent hii.
 
FULL-TIME: Real Madrid 5-3 Reims.

Goal-scorers: Nacho, Ramos, Morata, James and Mariano.

‪#‎HalaMadrid

CqA6Vh9WcAAaj8v.jpg:large
 
Kuna commentators walidai Zidane kaenda na Castilla Marekani kwasababu ya mwanae, lakini nashangaa sijui hawaoni talent hii.
Wanaongozwa na wivu, so ni vigumu sana kuona kama dogo anaweza, juzi kweny super cup Zidane alimchukua Luca, ikawa ndio habar!!
 
MARIANO'S GOAL WAS CANCELLED and 2 minutes later scores again!

Real Madrid 5-3 Stade De Reims
Mariano ni mzuri katika ufungaji na ana control nzur,anahitaji muda zaidi kuimarika akipata nafasi anaitumia kweli na anaweza shoot from distance pia,nafikiri akibakizwa first team atasaidia sana pale strikers watakapokuwa na majeruhi,otherwise alikuwa na pre-season nzur.
 
He is better than Benzema
 
Back
Top Bottom