Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,541
The kick-off is less than 1 hour ... Can't wait.
Hahaha, Mkuu umeniacha hoi, Perez kama chinga sio, yeye anafikiria kufanya biashara ya nguo tu!!! Mambo yamekuwa tofauti sana msimu huu!! Zidane hana presha kabisa!!Bora kuliko angeachiwa Perez angemleta Pogba kwa Milioni 200 ili auze jezi. Perez ye anajua biashara ya nguo tu kama mmachinga.
Ninafikiri mfumo wa uchezaji hautotofautina na wa msimu uliopita, bado formation itakua 4-3-3 kweny game nying na 4-4-2 kwenye baadhi ya game!!Nasubiri nione timu yetu inacheza vipi. Japo hawa Stade de Reims sio strong lakini inatosha kuona mfumo wa Zizou hii new season. Nafikiri muda umefika wa kupunguza zile useless passes.