Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Dani Carvajal and Isco limped out of the team's final training session although both could still feature against Sevilla.

Dani Carvajal is suffering from a blister that forced him off the training and Isco pulled up gingerly while taking a shot. [MARCA]
 
El Confidencial | Isco has accepted it'll be hard to start but wants to stay at Real Madrid knowing he can be alternative to Toni & Luka.
Nimeipenda hii, kijana ameamua kukomaa, ni vizur lakini. Anaonekana anapenda kufanya kazi chini ya Zidane, na kizuri zaidi ni kwamba hakutokuwa na yale maneno kwamba hana furaha ndani ya club sababu hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara!!
 
Hamburg and Bayer Leverkusen are vying for the signature Martin Ødegaard with West Ham also showing an interest. [Daily Mail]
Club iangalie vizur team itayomfaa huyu dogo , na pia ikiwezekana mkataba wake uonyeshe idadi ya game atakazo anza, kama ule wa Asensio. Nisingependa kuona yale ya Lucas Silva yanajirudia tena kwa huyu dogo!!
 

Supporters' groups get together in Trondheim. #RMFansNorway #RMSuperCup #HalaMadrid


CpazWQSWYAAFvOw.jpg:large
 
We are playing with our B team tonight, except for the defence.
 
Nani alisema Asensio aende loan? Mtu anajua hivi halafu uwape watu wafaidike hivi.
 
Huyu Morata Hana uchu wa mabao kabisa. Halafu Sevilla wanacheza kweli Real Madrid bado Wako kwenye preseason, kama sio kombe uwanjani
 
Huyu Morata Hana uchu wa mabao kabisa. Halafu Sevilla wanacheza kweli Real Madrid bado Wako kwenye preseason, kama sio kombe uwanjani
Morata inabid ajifunze kuforce mambo, anachelewa sana kuingia kwny box wakati tunashambulia!!
 
Back
Top Bottom