Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Marcelo celebration after his second goal against Chelsea! #RMTour #HalaMadrid

Coo7Un4XYAERvXz.jpg:large
 
Llorente, Febas, Sergio Díaz, Yánez, Odegaard o Lienhart come on for Marcelo, Morata, Varane & Casemiro.
 
Madogo wamekatika sana, pale nyuma. Bado hawako sawa kweye offside trap. Needs some serious work there.
Ni kweli Mkuu, walijisahau sana, na ndio tatizo hilo hilo liliwaangusha Castilla, Solari anatakiwa awapike sana hao vijana!!
Kwa upande wa viungo na foward tuna vijana wazur sana kwa hapo baadae!! Btw nimependa sana ujasiri wa Febas!!
 
Commentator during the game: "These Castilla lads are good, I can't see any U-19 side from Premiere league dominating a game vs a La Liga team but here they are making a good Chelsea lineup run for their money."
 
Isco didn't participate in the match against Chelsea due to discomfort in the ankle. [via @edupidal]
 
Madogo wamejisahau sana, hizi goli mbili za hazard ni kama tumempa tu
Mkuu..upo vizuri kweli wew..???
Umewapaje hizo gori mbili chelse..??

Hazard is a magician...hivi huwa husikilizi hata maneno ya mtangazaji....?
He is the best man ever happen...
Jamaaa anaweza ...mbaya zaid vijana kmaa akina Quadrado,Raino ,mitchy bustuay na kmaa kina moses wanajua kumchezesha vizuri snaa huyu magician....
Tia salute kwanza kwa magician...hazard ..alaaaaaah...
 
Back
Top Bottom