Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Jana marcelo utadhani ana miaka 18 mambo yote kamaliza yeye ukubwa dawa.
MPAKA SASA INAMAANA HAKUNA USAJILI MPYA
Kama Mariano bado atakuwepo, niamwona akicheza super cup.
Mbadala wa Casemiro ndio tu hayupo kwasasa, unless mchezaji auzwe ndio club itasajili, kama hakuna atakaye ondoka, basi hakutakuwepo na usajili.MPAKA SASA INAMAANA HAKUNA USAJILI MPYA