Lakini mkuu tuchukulie mfano wa hawa supersport wanavyorusha live game za kenya KPL na huenda si muda mrefu wakaanza hata hapa bongo, unadhani italeta impact gani kama sio kuzifanya timu za east africa kuwa na fans kutoka nchi mbali mbali, usishangae leo ukienda kampala utakutana na fans kibao wa young african SC.Sitaki ushujaa wa kupewa.
Lets go for facts...
Hujihisi mtumwa kwa kudai eti your heart ni Arsenal (kitu ambacho unajua si kweli)?
Sitaki ushujaa wa kupewa.
Lets go for facts...
Hujihisi mtumwa kwa kudai eti your heart ni Arsenal (kitu ambacho unajua si kweli)?
kwanini utumwa... dah tena mi ni member wa arsenal registered on line na nalipa kwa mwaka... napata online news access za classics match etcl!
aim proud of that ...
Proud kuwalipa Arsenal?
Straight kutoka nchi ya dunia ya tatu,.. I see!
Manucho ni bonge la striker, SAf amechemka pale. Mesut Ozil is a complete midfielder, kiukweli anatisha.Dah!tulikuwa twapumulia mashine but thanks to a strike from Benzema and a double strike from Mesut Ozïl,Manucho alikuwa anataka kutia tui la nazi kwa supu yetu.Final results,RM 3-2 Valladolid.
Mi naona ana speed ma fizik ya kutosha. SAF ameona labda amlee Wellbeck ambaye anategemewa timu ya taifa, Siasa zipo sokani pia mwana/Lakini huwezi jua mkuu,may be manucho haendani na physical games za EPL.
Dakika ya 75 hiyo,RM 2-1 ESPANYOL,GOD BLESS US!
Acheni hizo wabaguzi na wadomo kaya ni hukohuko england na ligi zenu za mdomo kuongea sanaMadrid yenyewe imeshaanza kukera, S. Ramos na I. Kasillas ni wabaguzi mno kwa wachezaji wageni ndio maana timu inapoteza muelekeo, Benzema, Ozil na Ronaldo wanaweza kutua England muda wowote kuanzia januari.
Acheni hizo wabaguzi na wadomo kaya ni hukohuko england na ligi zenu za mdomo kuongea sana
na vp kuhusu John Terry na Anton Ferdinand,halafu wote waingereza taifa 1,mbona mnaisakama sana spain jamani?ubaguzi kila sehemu,bongo wahindi tunawaita ma*********,sauzi weusi wanabagua weusi wageni,kidogo spain ndio mana Marcos Senna alimtetea sana Jose Luis Aragones Suarez walipotaka kukuza habari ya Jose Antonio Reyes ni bora kuliko Thierry Henry ya kumuita nigga,juzi refa mechi ya Chelsea vs Man Utd walikazania Mikel Obi,lakini Juan Mata aliitwa Spaniard Idoit walipiga chini,fikiria kabla haujaja na ujumbe wako nadhani ulisahau haya yote ni hiyo ni kwa wote anti SpainUnazungumzia ubaguzi gani? Unakumbuka Etoo alivyokuwa anaitwa nyani akiwa Barca.Real Madrid kuwa mgawanyiko wa wachezaji kuna kundi la Wareno (Ronaldo,Pepe,Coentrao)+Marcelo na Di Maria na Wahispania (Casilas,Alonso,Ramos)
Acheni hizo wabaguzi na wadomo kaya ni hukohuko england na ligi zenu za mdomo kuongea sana
Samahani sijui historia yako hususan ya soka na kiumri ila naomba nikukumbushe na sijui kama unajua au ulikuwa bado ktk soka,kamuuliza Idd pazi kwanini alikimbia El Merreikh ya Sudan mwaka 1987,7bu umesema ubaguzi ni nchi nilizopiga mstari,ok sawa nadhani nchi kama Sudan,Cameroon,Somalia,Zimbabwe nk dunia nzima ubaguzi upo nimekutajia za afrika kwanza inaweza kwako ikawa kama unofficial kama magoli ya Chitalu yaani haitambuliki,unakumbuka DRC Zaire wakati ule kulikuwa na ebola walienda AFcon kucheza na Zimbabwe hatua za mwanzo ktk kundi lao,wakazomewa ebola ebola,sawa kuna ubaguzi mwingi achilia wa rangi kuna unyanyapaa,hata Russia wamenyanyapaa mashoga na weusi zote si haki,mana kila mtu ana nafasi na demokrasia yake na jinsi Mungu alivyomuumba,kuhusu Zaragoza kuna mashabiki weupe asilimia kubwa ila kuna weusi pia walikuwa wanamzomea Etoo,sipo kuwatetea sana weupe ila naweka wazi isichukuliwe hoja na kukuzwa sana,Kanoute alijenga msikiti jijini Sevilla,mashabiki wengi wa Sevilla weupe kwa weusi walibadili dini kwa ajili yake hawajajali rangi yake,waspain sio wabaya kama mnavyosimuliwa wengi wenu,kukaa na mtu ukimjua mtaenda sawa,ni vizuri mtu umuone mwenyewe uishi nae umjue vizuri kuliko mtu akuhadithie,sikatai wapo wabaguzi na wapo safi,na kila dunia kuna watu wakila aina ndio maana hakuna nchi ambayo haina jela mahakama maana hakuna nchi ambayo itasema watu wake wote watakatifu,ishu ya wachezaji ni nzito kuliko hata mashabiki,maana kama kuna uhasama kati ya wachezaji ndio kioo cha jamii,tofauti washabiki wapo wa tabia tofauti,wengine watasifia ile vagi la Lee Bowyer na Kioren Dyer walipokuwa Newcastle au Vieira na Mayer walipokuwa Arsenal ni bora kuliko Cantona kumrukia shabiki wa Crystal Palace.Nilikuwa nakukumbusha ubaguzi upo Spain,England,Russia,Italy statement yako ya kwanza umesema ubaguzi uko kwa Waingereza ndio maana nikakuuliza unazungumzia ubaguzi wa aina gani.Hizi case za kina John Terry +Ferdinand sio incident kubwa(mchezaji kwa mchezaji) sema zilikuzwa na media ni tofauti ya ile ya wachezaji wa England (Ashley Cole +Wright Philips) walikuwa wanaitwa nyani na mashabiki wa Spain au case ya Etoo mashabiki wa Zaragoza walikuwa wanamwita nyani mpaka akataka kutoka uwanjani (ni incident kati ya mashabiki na mchezaji)