REAL DEAL........:''Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.''

REAL DEAL........:''Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.''

ah kama mnachozungumzia ni hichi then mpo chakabovu.

Cloud storage ni storage ya online ambayo mtu ameeka server zake then mna store vitu vyenu.

Mfano mimi nna storage yangu nyumbani labda ya terabyte 100 then natengeneza server halafu nakua nauza space labda 1tb kwa sh 10,000.

Kama yule jamaa alikua anazungumzia hv alikua wrong
 
kama ni hii mbona hii kitu kawaida na kibongobongo na hizi network zetu haifai. Ku upload movie kwenye hiyo clod storage ni utata then siku utake kuiangalia kuidownload si utata mwingine
 
hapana chief mkwawa upo wrong kidogo. hii kitu si kama myspace au any other site inayo offer online storage. just try and see
 
hapo umenena mkuu hii ishu ya kuweka kwenye cloud bado sioni use yake sana kwa bongo,
Bundle zenyewe bei zipo juu on average 10,000/= Tshs. kwa wiki kwa majority ya providers kuvuka 5GB ni kama ndoto sasa nihamishie terra byte ya movies na games kuziangalia si itakuwa kwa kuvizia, kwa sasa hapa bongo cloud storage inafaa zaidi kubackup document muhimu za kiofisi au shule.
 
hapana chief mkwawa upo wrong kidogo. hii kitu si kama myspace au any other site inayo offer online storage. just try and see

nani kasema ipo kama myspace? Cloud storage nnazo si chini ya 5 nazifahamu vizuri.

Ukieka windows 8 unapewa cloud storage ya 7gb kwenye skydrive ya microsoft same ukinunua simu zao microsoft.

Kuna box nao wanatoa cloud storage.

Zipo nyingi mkuu tena sana.

Ila kusema unlimited cloud storage hamna kitu kama hicho duniani ni maneno tu ya biashara
 
kwa kutumia unlimited space niliyonunua, nimetengeneza private cloud system yangu Kichaka By MtotoSix ambayo naweza ku upload mafaili yangu kutoka kwenye simu kwa kutumia app yake, kwa pc etc. pia naweza kushea hayo mafaili na wadau (file sharing) kuepuka mafaili yangu yasiondolewe kwenye zile public sharing sites.
 
Back
Top Bottom