babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,076 Reaction score 20,436 Apr 19, 2010 #1 kapicha kamenivutia jinsi mama anavyowajibika,sio kushinda bar tu kuomba ofa za bia na vitimoto.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Apr 19, 2010 #2 Babu, inategemea na mazingira. Huwezi kaa Dar ukatwanga mchana kutwa, jasho litakutoka. Labda uwe na kipupwe pembeni
Babu, inategemea na mazingira. Huwezi kaa Dar ukatwanga mchana kutwa, jasho litakutoka. Labda uwe na kipupwe pembeni