Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Watu wengine bana, sasa kufikisha 30 ndio nini? Camila mke wa Prince Charles aliolewa na miaka mingapi? ndo roho yake ilipopenda. wewe unadanganya watu mtu aolewe mapema ili nini? akubali kuwa punching box ya mtu mwingine kisa umri? LOL umepotea wewe. Kila mtu ana uchaguzi wake rafiki yangu ukae ukijua hilo na ipe roho kitu inapenda kama wewe huwezi wenzio ndio wanawataka hao, wametulia wana maamuzi yenye busara. NAOMBA KUTOA HOJA
 
Sio 30's tu,hata kuwa late 40's bado sio sababu ya kuolewa na yeyote anayekuja mbele yako na ku propose ndoa.
Thamani ya mtu haishushwi na umri,usiolewe kisa umri unaelekea alasiri ukaishia kuishi maisha ya majuto.

Roger that!
 

Hiv heaven on earth na na heaven sent n mtu mmoja... maana inanichanganya sanaa hiii
 
i ilikuwa binti akifikisha
miaka 22 hajaolewa ni shida.bt
nowdays kila mtu anauhuru wa
kuchagua maisha gani aishi sasa
watoto wa siku hizi kama mtoa mada
amekariri kuwa ni lazima kuolewa/ kuoa,maisha siku hizi hayako hivyo na
wala kuolewa sio tiketi ya kuuona
ufalme wa Mungu so nyie wavulana
msikariri
 
Sio 30's tu,hata kuwa late 40's bado sio sababu ya kuolewa na yeyote anayekuja mbele yako na ku propose ndoa.
Thamani ya mtu haishushwi na umri,usiolewe kisa umri unaelekea alasiri ukaishia kuishi maisha ya majuto.
Intelligent thinking! Naona kuna watu wanakuhusisha kutoolewa na mkosi, si kweli na si lazima kulazimika kuolewa na yeyote hata usiyempennda kwa ajili ya umri kwenda. Wala si dhambi mtu kuishi bila kuolewa. Tusemeje kwa wanaume wanaopindukia 40s na hawajaoa? Mbona ni wanawake tu ndiyo wanaosakamwa sana?
 
Hoja yako imepita bila kupingwa. Inasubiri saini yangu iwe sheria
 
Khaaaaah mmeanza tena? Mkimaliza mnaanza na single mothers, yaani duuuh!!

Naona kweli wameanza tena!!
Hizi mada za age limit, single mothers, sijui vibamia, rambo, kuhonga, mwanaume suruale, pesa ndo kila ktk mahusiano, mmmh zinaletaka tafrani kubwa humu ndani
 


Kuweka vigezo ni muhimu ili kupata kilicho bora.
 
Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa

Na hakika hili jiwe litawagusa wengi sana. Ila duuh 30's kama demu hajaolewa atakuwa ndemwa huyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…