masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,271
Sasa unawezaje kumaindi shughuli zako bila kuwa na dawa (kumiliki muhogo) wa kukutoa stress.....we si umeona...Le Madame De Speaker of House of Commons.....anavyochemka baada ya kupita hiyo....STAGE YA 30's....bila bila....Hadi leo, Full stress.....sasa how comes you will manage Your own business without MPINGo......of You're ownership? Be realistic Masai Dada...you have credibility in JF.
Huwa nachukia kuona mada zinazohusu umri wa wadada zikitolewa na wanaume nina wasiwasi na jinsia ya mtoa mada
Khaa!! Unaanza kusinzia wakati hii ndiyo mida ya "uwajibikaji" unaleta utani weweAah ninalo basi! Nipo tu apa nshaanza kurembua naona dalili za kubakwa na usingizi
Huwa nachukia kuona mada zinazohusu umri wa wadada zikitolewa na wanaume nina wasiwasi na jinsia ya mtoa mada
Khaa!! Unaanza kusinzia wakati hii ndiyo mida ya "uwajibikaji" unaleta utani wewe
Hahaha sasa wasiwasi wa nini tena mpendwa wangu?...unajua ukiona kitu kimekugusa moyo wako...kinachotakiwa kwanza moyo wako u-ukubali ukweli kuwa kwa sasa ni ALASIRI...hivyo uongeze mawindo yako ili mwisho wa siku na wewe upate kumbatio lako peke yako..vinginevyo jua litaku-chwea saa 12 jioni...halafu at the end uanze kuwa na stress kama yule Bi kiroboto wa mjengoni...maana itafika muda hata wa kukuambia dada mambo? hutamuona....TAKE MY WORDS!
Likewise wadada na sisi hatukubali kuolewa na wanaume ambao ndoa zao zimewashinda coz ni mkosiChonde chonde wanaume, usioe mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, huo ni mtumba ukiuchoka utaona ubaya wa mtumba
Kuwa na miaka 30+ hakufanyi mtu asiwe na vigezo na hakuna mtu ambaye hana vigezo! Kwani mtu kufikisha miaka 30 anakuwa hana haki kama watu wengine?
Halafu muda mwingine si kila mtu anaye fikisha miaka 30 bila kuolewa amepitia hayo au amependa....!
Ahsante kakayangu rutta mtoa mada katika ukoo wao dada zake walipofikisha 18waliolewa wote
Sio kila Mtu Anapenda kufikia umri huo akiwa single. Na sio kila anayefikia umri huo bila ndoa, alikuwa anachagua wanaume. Na sidhani Kama ukifikisha 30s au ukizalia nyumbani, basi ndo usiwe na mwanaume unayewish Kuwa naye, kwa hiyo Mtu ajillazimishe tu kuolewa na yeyote kwa sababu she is in her 30s? Wapo wanaume wanaooa wadada wenye watoto na wenye 30s na ndoa zao zina baraka mno. Ni kumpata Mtu sahihi tu kwa kwako
ki ukweli sijasoma hadi mwisho ila nachowaza ni kimoja
SIKU KILA MTU ATAKUWA ANAMIND SHUGHULI ZAKE HUMU DUNIANI DUNIA ITAKUA SEHEMU NZURI SANA YA KUISHI
Sasa unawezaje kumaindi shughuli zako bila kuwa na dawa (kumiliki muhogo) wa kukutoa stress.....we si umeona...Le Madame De Speaker of House of Commons.....anavyochemka baada ya kupita hiyo....STAGE YA 30's....bila bila....Hadi leo, Full stress.....sasa how comes you will manage Your own business without MPINGo......of You're ownership? Be realistic Masai Dada...you have credibility in JF.
Khaa!! Hilo sasa umejitakia wewe mwenyeweWayii,sasa nifanyaje na Mr kaingia shift ya usiku
Unajua zamani ilikuwa binti akifikisha miaka 22 hajaolewa ni shida.bt nowdays kila mtu anauhuru wa kuchagua maisha gani aishi sasa watoto wa siku hizi kama mtoa mada amekariri kuwa ni lazima kuolewa/ kuoa,maisha siku hizi hayako hivyo na wala kuolewa sio tiketi ya kuuona ufalme wa Mungu so nyie wavulana msikaririUnique dada teh teh teh wamegusa kunako, njoo kunako in box tuchonge kidogo sisi watu wazima wa 30 tunawezatukaelewana