Re: Wahaya wako juu sana aisee

Re: Wahaya wako juu sana aisee

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
335
[h=6]Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God[/h]
 
Mmmmmmh....alot of pomporsity out of nothing kwa kweli.
 
hhahahahahahah ungekua mchaga basi ungeipost hii thread yako bbc kabisa duh....
 
hahaha! ZionTZ! Mwache mwenzako ajibrag na unshomile wake bhana! Mashauzi ya wachaga ni kwa vitendo...
 
wachaga c azishen sredi yenu, mnajikuta kazi kuuza vioski na kushona viatu mjini hapa..
 
Mimi mwenyewe nawakubali sana hawa jamaa!! Kitu kimoja tu hunikera "KUWAKUMBATIA MAGAMBA!!" HILO TU!!
 
hilo tutalishughulikia kaka.. lisikupe wasi... kukumbatia magamba kiukweli sio ishu kabisa aisee
 
kapi hako boss...????? ka kuwagongea dada zenu...???? ha ha ha ah ah... kama kawa tupo

kweli hata nami nawa saport wanajitumu sana haswa ukiwakuta kwenye anga zao kwani hawana Makuu wao kwakua wanajituma sana ndio maana hupenda kuishi mabanda ya uwani tena UCHOCHOLONI ili waweze kujituma vizuri Bigar.up........kwa kuwajibika
 
kapi hako boss...????? ka kuwagongea dada zenu...???? ha ha ha ah ah... kama kawa tupo
teeh kakugongewa wake zenu asee wataaamu pita mitaa yoyote dar inayoitwa kwa wahaya ujionee kuanzia kgambn hdi tmk
 
we utakua uligongewa mkeo na wahaya maana ni wazuri sana katika gemu hizo.. so yawezekana mkeo alipata vitu adimu... unaogiopa tu kuadmitt inabidi uingie kivice versa... mkeo hawezi muacha huyo muhaya ataendelea kukucheat tu.. seriously.. jipange broda mkeo ndo mtaamu hasa,, i can smell her harufu.. so sweet
 
pole kama hujajua hilo ndilo kabila linaloongoza kwa wanawake kugawa hata ma wyf zenu full utamu
 
Mimi mwenyewe nawakubali sana
hawa jamaa!! Kitu kimoja tu hunikera "KUWAKUMBATIA MAGAMBA!!" HILO
TU!!

siyo kweli. umewasahau kina ndimara, mtungirehi na rwakatale? magamba wanashinda kwa kuchakachua kura
 
Back
Top Bottom