Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 151
Wote wanawaibia, bora TTCL, ninalipa sh 110,000 napata unlimited connection na haisumbui ,angalau naweza jiachia ingawa speed sio nzuri kivile ila na weza cheki Youtube videos . Nilijaribu kwenda Sasatel kutaka kuchukua ile unlimited yao ambayo ina speed kuaniza 3.1 ,ni sh 290,000 halafu kumbe wankupa 10GB halafu ukizimaliza ndio uwanakupa unlimited yenye speed ya 1.53kbs , wizi mtu.