Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,444
hii shule uliyoweka hapa ni nzuri kuliko hata mimi. nashukuru naona itaniongezea elimu. je wewe ulitaka kutengeneza software itakayoprogram microcontroller au ulikuwa unataka kutengeneza circuit itakayo run na microcontroller, au vyote.mimi nafkiri kama ni software ungeanza na software inayo program eeprom. mmmmm...lakini huku kwenye eeprom ni kama kurudi nyuma sana any way ndo mwanzo huo. na first program itakuwa ni bytes ndogo sana ila itakupa mwanga na utajifunza namna ya kuingia kwenye hayo mamilion ya bytes. kuna mambo mengi ya kujifunza kwenye microcontrollers kama conditional jump/call/branch instrucions, logical instructions (AND/OR/XOR/NOT), comparison instruction na CPU's registers. na kwa bigginer microcontroller za Atmel ndio nzuri kwa kuanzia. unaanza na kuwasha kataa (led) ukifanikiwa unaenda mbele kwa kufanya hiyo taa yako iwe inablinck ukifanikiwa hapa sasa unafanya commands za button ili iwe inawasha na kuzima taa. kazi yote hii mwanzo itakuwa kama inakupotezea mda lakini ndio pa kuanzia. hapa ninao utaalam kidogo lakini hiyo site yako itatusaidia sana tena sana senkyuuuu . vilevile microcontrola nyingi wameshaua/unguza fuse zake hivyo nilishindwa kuzifanyia projects labda kama zitanunuliwa mpya. lakini kwakuwa wewe upo interested na mimi nikama umeninyanyua nitaaza tena na tutakuwa tunaleta report hapa kama kuna atakae kwama tutasaidiana.
hiyo linki yako na hii hapa ni nzuri pia
Gooligum Electronics
Ok tahanks very much nadhani umeshanipa mtiririko mzuri. ngoja nichemsheubongo nijipe kaproject kadogo kwangu litakuwa ni liproject. Nikifanikiwa kutengeza hiyo ya vimuli muli itakuwa achievement kubwa sana