RE: Using your mobile miss call as password (security) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Using your mobile miss call as password (security)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mr.Professional, Dec 30, 2010.

 1. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Dear member of the flow!

  Am looking for a proper programming codes to develop a project whereby I can use a mobile missed call as a password for security purposes in opening a particular application in my PC.

  the idea of using a mobile missed call is just to have a unique password where no one can temper it. please i need some idea
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh mkuu cjakupata kabisa just come again mkuu
   
 3. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  nimempata Mkuu.
  je wewe ni programa? nafkiri utakuwa programa ndo maana unataka programming codes.
  sasa unafahamu commands za simu? na ulikuwa unataka kupitia USB au FBus. hii maranying ni FBus.
  na FBus lazima ipitie kwenye atmega. kwahiyo lazima ujue kuboot atmega kwanza. na hiyo atmega kama unapitishia kwenye usb port lazima uiunganishe FTDI devices. so lazima ujue jinsi ya ku-boot FTDI devices. ni kama kwenye mabox ya kuflash (UFS) inapitia kwanza kwenye FTDI device unaweka drivers the ina boot atmega (64bit) halafu unapata Fbus inayokwenda kwenye simu (nokia) hii topic kwa ujumla nawez kuimwaga hapa step by step ila itachukuwa mda na tutakwenda taratibu.
  FTDI- Future Technology Devices International
  Lakini hii ni njia ambayo natumia mimi ila kama wewe una yako na unataka codes tu well here is the codes

  Byte: 00 01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11 12 13 14 15

  Data: 1E 00 0C D1 00 07 00 01 00 03 00 01 60 00 72 D5

  nitakufafanulia kidoogo hapa

  Byte:00 > Frem zote zinazotumwa na fBus lazima zitaleta ujmbe 1E tofauti na infra red ambayo ni
  1C

  Byte:01 > hii ni source adreess ID ambayo kama ni simu itakuwa 00 hii ndio phones ID.

  Byte:02 > hii ni Destination adreess ID ambayo kama ni PC itakuwa 0C hii ndio PCs ID.

  Byte:03 > Hapa ndio kuna messege type "Command" ni command gani unataka sim ipokee. example : D1

  Byte:04 and 5 > Hii ni urefu wa messege yako hapo inaanzia 00 mpka 07 kwamaana hiyo msg yeto itakuwa na 7bytes long.

  Byte:06 > hapa ndio mtiririko wa data yetu inapoanzia na inakwenda kwa 7bytes kwahiyo itaishia kwenye Byte >14

  Byte:15 > sina utaalamu nayo sana. Ila Byte> 12 ni sequency number. yaani ni mpangilio ambao unatakiwa uufuate unapotuma commands ili upate ujumbe kwa mpangilio.

  Kwahiyo simu ikipata data hizo hapo juu nayo itarurisha data hizi hapa chini na wewe utakuwa umeshaziweka kwa mahitaji ya kitu unataka kifanye.

  1E 0C 00 7F 00 02 D1 00 CF 71
  1E 0C 00 D2 00 26 01 00 00 03 56 20 30 34 2E 34 35 0A 32 31 2D 30 36 2D 30 31 0A 4E 48 4D 2D 35 0A 28 63 29 20 4E 4D50 2E 00 01 41 3F A4

  Angalio hapo kwenye source address ID na Destination ID zilivyobadilishana. hii ni kwasababu simu ndio inajibu yaani inarudisha ujumbe. na ukishapata huu ujumbe ni lazima urudishe ujumbe tena kwenye simu kuiambia umepata ujumbe wake. ujumbe utakaorudisha ni huu

  1E 00 0C 7F 00 02 D2 01 C0 7C
  angalia hapo kwenye red 7F niyo frem command yetu na tumepeleka ujumbe wenye Bytes mbili angalia hapo kwenye kijani 02na hiyo kwenye blue ni msg Command D2
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  CalvinPower unachoongea hapa ni madudu tu na sio msaada kitu.
  Mr.Professional unaweza kutengeneza this program na missed calls ikawa password.Kwa kutumia any programing languange but C++ itakuwa nzuri zaidi kwa kazi hii.
  Most of handset za siku hizi zote zinaweza kufanya kazi hii.
  tuliwai kutengezeza system for zain now Airtel ambapo unaweza tuma comand kwenda kwenye mnara wa simu na katika mnara usika,generator ikawaka au kuzima,au ukauliza kuna lita ngapi za mafuta zipo ndani ya tank,au ukapata sms kuwa mlango wa BTS upo wazi.
  Mbali na simu pia utaitaji another circuit ya kufanya maamuzi unayoicomand simu kufanya.ni PM
  Ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
  Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
  CalvinPower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
  Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?KAMA KITU UKIJUI KAAENI KIMYA SIO LAZIMA MKOMENT JAMANI kama unajua unajua kama ujui ujui.
  Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na WACHINA sio UJUZI.
  Enzi zetu hizo MBUS na Fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia Max 232 IC. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
  Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa KIBABU,YAHAYA,SELE,MWESIKA SAID SAPNA na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk Cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
  Happy 2011
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ingawa naona kizunguzungu na sijaelewa hata chembe inapendeza kuona watu wanamwaga maujuzi adimu kama haya.

  safi kabisa Dr phone na calvin
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwaga maujuzi ukumbuni kamanda ya niini kuficha maujuzi jikoni
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kamanda ebu nipe mwanga kidogo ingawa sina utaaalamu sana Nina interest na mambo ya Mobile communication. Sasa tatizo naona hata swali la mleta mada sijalilewa vizuri. Can u help anataka kufafanua
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mtazamaji: Hizi project za namna hii zipo za aina nyingi,nnataka jua mengi kabla ya kutoa solution
  Mfano Je Computer yake ina OPerating system ipi? Windows or Linux? Kama windows ni windows ipi? 95,Vista or?kama ni Linux ni Linux ipi?
  Je computer anayotumia ina serial port au aina?
  So kuna vitu vingi nnatakiwa kujua toka kwa Mr.Professional.
  Akishani PM his requirements then ntarudi barazani kumwaga shule ucjali mkuu
   
 10. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Zamani ni kweli ilitumika maxim 232 ila ilikuwa na speed ndogo sana na sasaivi imekuja FTDI device ambayo inaspeed kubwa mkuu.
  sijui kama mimi ndo sijamuelewa alieuliza swali au la.
  hizo nilizoweka hapo juu sio Eeprom contens bali ni commands za nokia mkuu.
  nilichokuwa naandika ni kuwa kuna commands ambazo simu inapokea na yenyewe hujibu hizo commands. anyway unaweza ukaweka hapa hizo software au commands zako tujifunze? au mimi nilikuwa too deep nikakuchanganya? au ni mimi ambae sikuelewa swali, nikaja na jibu tofauti? wewe ndio unaweza ukawa mkali sana far far better than me lakini ingependeza zaidi kama ungeni-correct pale nilipokosea na si kusema nimeandika madudu. lakini nataka nikuambie kama ni madudu au sio ila vinaweza saidia wengine. hapa mi naona tusibishane bali tuelimishane. Hao uliowasema kina kibabu, mwesiga, yahaya kama wanakufahamu jinsi ulivyo mzuri ktk hii fani ya sim, well thats good to know. nimefurahi kufahamu kuwa you are too good in this gsm industry. Lakini naomba nikuulize swali " ni commands gani unapeleka kwenye simu ili irudishe ujumbe wa kukupa lets say.... IMEI ya simu (nokia)mimi nitaweka hapa commands pamoja na software ili mtu yoyote ajaribu na kutoa feed back. Nitaweka ya USB maana sio kila mtu ana box.
  stay tuned!!!

  DR PHONE amefanya nini tena mbona yeye haja-comment chochote?
   
 11. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Mtazamaji swali la mleta mada nilivyoelewa mimi ni yeye kuweza ku- control vitu vyake kwa kutumia mobile phone yake. nafkiri ameshatengeneza software yake na anataka commands ambazo zitawezesha kupitia simu ku-control vitu vyake.
   
 12. r

  rastaman Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Chpukizi naona Kitu ambacho ClvinPower alitaka kumuelezea mleta mada ni dat cummonication. sana sana kabase TCP with 3 way handshake. ila kwa programming naungana na bwana chipukizi kuwa hakuna kitu kama hicho. tumia Java, C#, au C++ kama chipukizi alivyoshauri. kwa kufuata ushauri wa bwana CalvinPower. hivyo project itakushinda. kama wewe ni programa chagua kati ya lugha hizo hapo. kwa kuanzia.
  nawasilisha
   
 13. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hakuna kitu kama kipi mkuu hata mimi natumia programming language. ila hiyo ni commands zinazokwenda kwenye simu. lakini may be sikuelewa swali. ok tugawe hii section mara mbili. moja iwe na maelezo ya chipukizi bila mimi kumcrash na moja iwe yangu bila yeye kuiita madudu. mimi nitaweka ya language vb6/delphi/vb.net na kama sikuelewa swali muuliza swali aweze kuniambia. lakini nitakuwa nimejifunza kutoka upande wa chipukizi. najua kuwa kuna devise nyingine mbali na simu ambayo itapokea hayo maamuzi which huko sitafika.
  nitaweka kwanza maandalizi hapa naomba wenye simu za nokia wawe wanatest commands na ni nini kinatokea.
  Lakini nasisitiza labda sijaelewa swali. so tusianze kurushiana maneno makali
   
 14. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Jambo nisilolijua............
   
 15. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  chipukizi unasema hata Mwesiga unamzidi wakati nshawahi kukuta ofisini kwake unadesa,au sio wewe?? Achana na said sapna,yahya, boni Mwesiga ni baba yao. Sapna walitaka kumnunua akagoma sasa kila k2 wanamconsult,nawajua vizuri hawa mafundi asikudanganye mtu.
   
 16. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hapo kwenye red . najua hakuna kitu kama AT mega kwenye programming na sijasema AT mega bali nimesema atmega hii ni micro controllar unit. ni IC chip.
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kwa jinsi nilivyomwelewa mimi - katika project ya Mr. Professional micro-controller haihitajiki. Ndiyo unaweza iunganisha simu with a microcontroller but it is not necessary as current handsets are powerful and feature rich enuff to do a job of a full blown embedded system. They are embedded systems per se.

  Anyhow, Mr. Professional is after some ideas:

  -- 1. You need a dedicated fone (receiving only) attached to a PC (host) (preferably) HTC with manoeuvrable OS (android) or another linux based OS. windows mobile, symbian or iphone OS aren't favorable for this sort of things. Then find tools on the net which will extract call list data from the fone, you can program this yourself (as you have suggested) or search the net for similar codes (i believe there are tons out there). There and then, data can be formatted into XML file type and be easily accessible remotely via http on a browser or console.

  (From little I can understand in your initial query - these are mere concepts, and since you have asked for ideas, with time and by reading further into your intended project I could come up with few more...)

  -- 2. Software bundled with new fones are feature rich (particularly Nokia). You can have phone call management software by nokia installed on your pc, then get (buy) a software to read and extract data from other applications on your pc. On the same pc you can have another software to dial (phone dialler) to alert or send single or batched text files from your pc. You can possibly achieve this by exploring micro recorders on your pc. With a bit of effort about programming micros using visual basic, or ms access or indeed any other micro enabled application, it should be possible to automate the entire process: - attach your two phones to PC via standard USB, one phone receiving calls and the other dialling out to some dedicated number of your choice where you would have access to the info being sent. I suggest you research more in micros recording procedures to accomplish this. This might be the easiest option in my opinion than one above whereby you would need to write your own code. On the other hand, using micros is a known technique and a variety of tools are at hand should you know which is which and what route to take. I shall find time to read more about this interesting project... otherwise, good luck!!
  Happy New Year.

  Steve Dii
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  May be a few questions:

  1 - why would a missed call be considered unique and secure?!

  2 - how many calls are you anticipating to receive in an hour or within 24 hrs time?

  3 - would the missed call be initiated by you or another person known or unknown to you?

  4 - if call is initiated by another person (known or unknown), would they be aware of the gathered passwords (numbers)?

  5 - would the opened application reside remotely or on same pc hosting the mobile?
   
 19. JUAN MANUEL

  JUAN MANUEL JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 80
  Wakuu,elimu yenu ni kubwa si mchezo,imenivutia kwelikweli,naomba kuuliza,ni wapi nitapata elimu ya programing?
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  This is the best thread in technlogy subforum fort the year 2010.
   
Loading...