mh mkuu cjakupata kabisa just come again mkuu
nimempata Mkuu.
je wewe ni programa? nafkiri utakuwa programa ndo maana unataka programming codes.
sasa unafahamu commands za simu? na ulikuwa unataka kupitia USB au FBus. hii maranying ni FBus.
na FBus lazima ipitie kwenye atmega. kwahiyo lazima ujue kuboot atmega kwanza. na hiyo atmega kama unapitishia kwenye usb port lazima uiunganishe FTDI devices. so lazima ujue jinsi ya ku-boot FTDI devices. ni kama kwenye mabox ya kuflash (UFS) inapitia kwanza kwenye FTDI device unaweka drivers the ina boot atmega (64bit) halafu unapata Fbus inayokwenda kwenye simu (nokia) hii topic kwa ujumla nawez kuimwaga hapa step by step ila itachukuwa mda na tutakwenda taratibu.
FTDI- Future Technology Devices International
Lakini hii ni njia ambayo natumia mimi ila kama wewe una yako na unataka codes tu well here is the codes
Byte: 00 01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11 12 13 14 15
Data: 1E 00 0C D1 00 07 00 01 00 03 00 01 60 00 72 D5
nitakufafanulia kidoogo hapa
Byte:00 > Frem zote zinazotumwa na fBus lazima zitaleta ujmbe
1E tofauti na infra red ambayo ni
1C
Byte:01 > hii ni source adreess ID ambayo kama ni simu itakuwa
00 hii ndio phones ID.
Byte:02 > hii ni Destination adreess ID ambayo kama ni PC itakuwa
0C hii ndio PCs ID.
Byte:03 > Hapa ndio kuna messege type "Command" ni command gani unataka sim ipokee. example :
D1
Byte:04 and 5 > Hii ni urefu wa messege yako hapo inaanzia 00 mpka 07 kwamaana hiyo msg yeto itakuwa na 7bytes long.
Byte:06 > hapa ndio mtiririko wa data yetu inapoanzia na inakwenda kwa 7bytes kwahiyo itaishia kwenye Byte >14
Byte:15 > sina utaalamu nayo sana. Ila Byte> 12 ni sequency number. yaani ni mpangilio ambao unatakiwa uufuate unapotuma commands ili upate ujumbe kwa mpangilio.
Kwahiyo simu ikipata data hizo hapo juu nayo itarurisha data hizi hapa chini na wewe utakuwa umeshaziweka kwa mahitaji ya kitu unataka kifanye.
1E
0C 00 7F 00 02 D1 00 CF 71
1E
0C 00 D2 00 26 01 00 00 03 56 20 30 34 2E 34 35 0A 32 31 2D 30 36 2D 30 31 0A 4E 48 4D 2D 35 0A 28 63 29 20 4E 4D50 2E 00 01 41 3F A4
Angalio hapo kwenye source address ID na Destination ID zilivyobadilishana. hii ni kwasababu simu ndio inajibu yaani inarudisha ujumbe. na ukishapata huu ujumbe ni lazima urudishe ujumbe tena kwenye simu kuiambia umepata ujumbe wake. ujumbe utakaorudisha ni huu
1E 00 0C
7F 00
02 D2 01 C0 7C
angalia hapo kwenye red
7F niyo frem command yetu na tumepeleka ujumbe wenye Bytes mbili angalia hapo kwenye kijani
02na hiyo kwenye blue ni msg Command D2