Assistant researcher

JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
816
2,032
Habari za siku wadau wa JF? Poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki ili mradi tu mkono uende kinywani na tupate ishi.
Mimi ni kijana mhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu mwaka 2016. Nimeandika huu ujumbe nikiamini fika kabisa humu kuna watu wenye elimu na nafasi za kazi tofauti tofauti.
Naamini katika kushirikishana jambo pale mambo yanapozidi uwezo wangu binafsi inanipa nguvu ya kuendelea kupambana na hali halisi kwani backup iwe ya direct au indirect zote zina msaada kufikia mafanikio.

Naomba msaada wa namna gani naweza kupata connection ya kufanya kazi na mashirika yanayojihusisha na mambo ya research hasa ukusanyaji data za aina mbalimbali mfano za kijamii, kiuchumi na kiafya au na zingine kama hizi au zifananazo

Nina uwezo na ujuzi japi si kwa kiasi kikubwa juu ya ukusanyaji data field na shughuli nzima ya kukamilisha utafiti hadi utoaji ripoti.

Kwa yeyote mwenye kuwa na msaada juu ya hili tafadhali usisite kunijulisha inbox.
Maisha ni kujaribu kote haijalishi ni njia gani unapita cha msingi kuwajibika.

Asanteni sana nakaribisha maoni yenu wadau
 
Cheki MDH wametangaza nafasi nyingi kupitia halmashauri ya wilaya ya Nzega
 
Nenda Repoa,Esrf,na DAMAx
 
Anza na publication mbalimbali ili utengeneze jina,baada ya hapo ingia kwenye website ya mashirika mbalimbali ya kimataifa....watahitaji kujua publication ulizofanya,baada ya hapo kama watakuitaji;utakuwa umefanikiwa.
 
Habari za siku wadau wa JF? Poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki ili mradi tu mkono uende kinywani na tupate ishi.
Mimi ni kijana mhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu mwaka 2016. Nimeandika huu ujumbe nikiamini fika kabisa humu kuna watu wenye elimu na nafasi za kazi tofauti tofauti.
Naamini katika kushirikishana jambo pale mambo yanapozidi uwezo wangu binafsi inanipa nguvu ya kuendelea kupambana na hali halisi kwani backup iwe ya direct au indirect zote zina msaada kufikia mafanikio.

Naomba msaada wa namna gani naweza kupata connection ya kufanya kazi na mashirika yanayojihusisha na mambo ya research hasa ukusanyaji data za aina mbalimbali mfano za kijamii, kiuchumi na kiafya au na zingine kama hizi au zifananazo

Nina uwezo na ujuzi japi si kwa kiasi kikubwa juu ya ukusanyaji data field na shughuli nzima ya kukamilisha utafiti hadi utoaji ripoti.

Kwa yeyote mwenye kuwa na msaada juu ya hili tafadhali usisite kunijulisha inbox.
Maisha ni kujaribu kote haijalishi ni njia gani unapita cha msingi kuwajibika.

Asanteni sana nakaribisha maoni yenu wadau
Eti ridhiki. Huna meno ninikuuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom