Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,500
- 70,304
Vipi rafiki yangu? Hutaki niongeze rafiki mwingine?Opportunist
Vipi rafiki yangu? Hutaki niongeze rafiki mwingine?Opportunist
Kwani tuliopo hatutoshi mpaka uongeze tena? Kwanza muulize anakaa wapi isije kuwa maji ya chai tukapata shida kwenda kumsalimia 😀😀😀Vipi rafiki yangu? Hutaki niongeze rafiki mwingine?
Hamna shida rafiki maana nafasi za urafiki kwangu hazijajaa. Tutaenda tu kumtembelea hata kama anaishi Ndukusii.Kwani tuliopo hatutoshi mpaka uongeze tena? Kwanza muulize anakaa wapi isije kuwa maji ya chai tukapata shida kwenda kumsalimia 😀😀😀