Re: NAOMBA MAONI YENU WANA JAMII

Re: NAOMBA MAONI YENU WANA JAMII

fpazi

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Wana jamii, Mimi nilfanya interview pale Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Nafasi ya SENIOR BUSINESS ANALYST. Sasa kitu cha ajabu waliniuliza huko ninakofanya kazi nalipwa shilingi ngapi. Mimi ninavyojua hawa jamaa wana scale zao. Nisaidieni hawa jamaa katika nafasi hii wanaweza kunilipa shilingi ngapi?
 
Mkuu, kati ya mambo ambayo unapaswa kuiyafanyia research kabla hujaomba kazi fulani ni kiwango chake cha malipo. Ulifanya kosa la kiufundi kwenda kwenye interview bila kujua nafasi unayoomba inalipaje.
Hata ukiambiwa sasa hivi hiyo nafasi inalipaje nadhani it is a bit too late

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom